PICHA: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza kukagua upakaji wa rangi Ndege ya Foker 50

Rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kukagua kazi ya upakaji wa rangi ndege ya Foker 50 iliyokuwa ikibeba viongozi, ambayo itaanza kubeba abiria na kazi hiyo inafanyika nchini na inagharimu shilingi milioni 5 tu.


from MPEKUZI

Comments