Wimbo Mpya: Linex Ft. Jaydee - Too Late

Mwanadada Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee ameshirikishwa na Linex kwenye wimbo mpya wa Too Late.

Wimbo umetengenezwa na Tonny Drizzy.


from MPEKUZI

Comments