VIDEO: Muswada wa Vyama Vya Siasa Ulivyowasilishwa Bungeni Leo

Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya vyama vya Siasa wa mwaka 2018  umewaasilishwa bungeni leo Jumanne Januari 29, 2019 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama.

Mhagama amesema pamoja na mambo mengine muswada huo unalenga kumpa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhakiki chama cha siasa wakati wowote.

==>>Msikilize Hapo chini


from MPEKUZI

Comments