Tiba Hii Ya Asili Inatibu Na Kuponyesha Kabisa Tatizo La Low Sperm Count Pamoja Na Tatizo La Ukosefu Na Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.
Unasumbuliwa na tatizo la low sperm count ? Umejaribu tiba nyingi bila kupata nafuu ? Kama jibu lako ni NDIO basi HII NI HABARI NJEMA SANA KWAKO. Neema Herbalist ni duka la kuuza dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kukufahamisha kuwa tunayo dawa ya asli ambayo INATIBU na KUPONYESHA KABISA tatizo la LOW SPERM COUNT pamoja na tatizo la UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
MAELEZO YA PICHA YA TIBA HII NI KAMA IFUATAVYO :
No. 1 : Katika tiba hii dawa hii inafanya kazi ya kuongeza kiwango cha sperms. Mtu alie tumia dawa hii hutoa sperms nyingi na pia wale wanao lalamika kwamba wakiwa wanatoa sperms zinakuwa hazi shoot basi hii ni tiba sahihi kabisa kwao kwani mwanaume akitumia dawa hii basi wakati wa kutoa sperms zinakuwa zinatoka kwa mtindo wa kushoot.
MAELEZO YA PICHA YA TIBA HII NI KAMA IFUATAVYO :
No. 1 : Katika tiba hii dawa hii inafanya kazi ya kuongeza kiwango cha sperms. Mtu alie tumia dawa hii hutoa sperms nyingi na pia wale wanao lalamika kwamba wakiwa wanatoa sperms zinakuwa hazi shoot basi hii ni tiba sahihi kabisa kwao kwani mwanaume akitumia dawa hii basi wakati wa kutoa sperms zinakuwa zinatoka kwa mtindo wa kushoot.
Mbali na kutibu tatizo la low sperms count dawa hii pia inatumika kuongeza ute ute kwenye joint mbalimbali mwilini kama vile kwenye magoti, viwiko nakadhalika. Ni tiba nzuri sana kwa mtu aliye vunjika mifupa. Kama mtu amevunjika mifupa akitumia dawa hii itamfanyia wepesi sana katika tiba yake kwani husaidia sana kuongeza uteute kwenye joints.
Dawa hii pia husaidia katika kuipa nguvu misuli ya uume.
Jinsi ya kutayarisha dawa hii. Unamenya kisha una I chip ( una kata kata ) vipande halafu unavitia ndani ya chupa yenye maji au chombo chochote chenye maji. Baada ya lisaa limoja ute ute wa dawa hii unakuwa tayari umefyonzwa kwenye maji na maji yanabadilika rangi ya damu yam zee.
Na jinsi ya kutumia unakuwa unatumia kunywa glasi moja asubuhi na glasi moja usiku kwa muda wa siku thelathini. Utaona maajabu makubwa sana katika suala zima la kutoa sperms nyingi, kushoot sperms na nguvu za kiume kuimarika
No.2 ; Haya ni mafuta ya asili yenye faida nyingi sana katika tiba . Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisayansi mafuta haya ya asili ndio mafuta yenye nguvu kuliko mafuta mengine yoyote yale yatokanayo na miti au mimea. Hata mafuta ya Mzeituni pamoja na mafuta ya Habbat Sawda yanaachwa mbali kabisa katika ufanisi wa kitiba na mafuta haya. Kwa lugha nyingine mafuta haya yana nguvu kubwa kuliko hata mafuta ya Habbat sawda na mafuta ya Mzeituni.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaeleza kuwa mafuta haya yana uwezo wa kutibu magonjwa na matatizo ya kiafya karibu yote yanayo msumbua mwanadamu.
Mbali na kutumika katika tiba dhidi ya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, mafuta haya yanatumika pia katika tiba ya kupunguza uzito na unene , kuondoa manyama uzembe pamoja na kuondoa mafuta yasiyo hitajika mwilini yani “ bad cholesterol “
Vile vile mafuta haya yana tajwa na wanasayansi kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutibu tatizo la sukari ya kupanda na kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu.
Katika tiba dhidi ya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, mafuta haya husaidia kusafisha mishipa ya damu mwilini , kusafisha mishipa inayo peleka damu kwenye misuli ya uume, kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu, kuondoa mafuta mabaya kwenye damu “ “bad cholesterol “ au lehemu mbaya kwa jina lingine pamoja na kubalance homoni.
Jinsi ya kutumia mafuta haya katika tiba hii, mtumiaji anatakiwa kutumia kichupa kimoja kila siku kwa muda wa siku thelathini. Kwa hiyo kila siku atakuwa anatumia kichupa kimoja kula mafuta haya na atakuwa anakula vifuniko viwili vya mafuta hayo mara tatu kwa siku yani asubuhi anakula vifuniko viwili, mchana vifuniko viwili na usiku vifuniko viwili. Atafanya hivyo kwa muda wa siku thelathini. Mteja wetu atakae hitaji tiba yetu hii, atapatiwa vichupa vyote thelathini pamoja dawa namba moja na namba tatu. Na baada ya siku hizo thelathini za tiba hii, basi mgonjwa atakuwa amepona kabisa tatizo la ukosefu bna upungufu wa nguvu za kiume pamoja na tatizo la low sperm count.
No. 3. Hii ni dawa yetu ya asili iitwayo Jiko ambayo inatokana na miti na mimea mbalimbali. Dawa hii inafanya mambo mengi sana katika tiba ya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na kuimarisha mishipa na misuli ya uume, kutibu uume ulio legea na kusinyaa kwa sababu ya punyeto, kukupa wuezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu pamoja na uwezo wa kurudia tendo la ndoa bila kuchoka. Dawa hii imeelezewa zaidi kupitia makala yetu nyingine ambayo uanweza kuisoma hapa chini:
http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html?showComment=1531548155915#c4496211800795986975
JINSI YA KUPATA TIBA HII : Fika katika duka letu. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONA HOUSING nyuma ya jingo la UBUNGO PLAZA.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0693 005 189.
Kwa wateja wetu waliopo jijini DAR ES SALAAM ambao hawana nafasi ya kufika ofisini kwetu, tunayo huduma ya kuwapelekea dawa mahali popote walipo ndani ya jiji la Dar Es Salaam ( HOME AND OFFICE DELIVERY )
Na kwa wateja waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, tunawatumia dawa kwa njia ya usafiri wa mabus mbalimbali na wale waliopo Zanzibar tunawatumia dawa kwa njia ya boti . Pia tunatuma dawa kwa wateja w etu waliopo NAIROBI, MOMBASA, KAMPALA, KIGALI , BUJUMBURA na LUSAKA.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu tutembelee kila siku kupitia blogu yetu :
http://bit.ly/1u8My9X
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment