Mhe. Rais Magufuli kukutana na viongozi wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF & NSSF) na SSRA asubuhi hii, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Ni kuhusu Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO. Fuatilia Redio, Televisheni na mitandao.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment