Picha: Diamond na mpenzi wake wakutana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro

Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amekutana na balozi wa Tanzania nchini Comoro.

 Katika hafla hiyo Diamond alikuwa ameongozana na mpenzi wake kutoka nchini Kenya, Tanasha.
 
"Earlier today when i visited the Tanzanian Embassy in Comoros," ameandika Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram.


from MPEKUZI

Comments