Umenunua Flash Mpya Au Memory Card na Inakuandikia iko WRITE PROTECTED Kiasi kwamba Huwez Kuweka Kitu????....Tazama Hapa Ujifunze Jinsi ya Kuiondoa Hiyo Kitu

==>>Jinsi ya kuondoa WRITE-PROTECT kwenye USB FLASHDISK au MEMORY CARD..

Write-Protect ni ulinzi unaowekwa kwenye FlashDisk au Memory Card isiweze kufanyiwa mabadiliko yoyote kama kuongeza Data, Kufuta au Ku-Format. Bahati mbaya sana hiyo kitu wakati mwingine husababishwa na uwepo wa virusi kwenye hiyo flashi yako.
 
Kuna njia nyingi ambazo zinatumika kuondoa writeProtect, nitatoa njia kadhaa  tu  ambazo zinaweza kukusaidia.

1. Njia ya Kwanza: Hakikisha Flash yako au memory Card yako haina virusi. Njia rahis ya kulijua hilo ni kuiscan kwa kutumia Antivirus .

2. Njia ya Pili: Angalia Muundo wa flash yako. Kuna flash zingine zina switch ya kubonyeza kuruhusu au kuzuia Write Ptotection. Tazama hii picha
Njia ya tatu: Tumia Window Registry.
Bongeza Start kwenye compunter yako; kisha andika Regedit.exe. ifungue hiyo kitu

Ikifunguka, nenda moja kwa moja hadi kwenye hii point;
Computer\HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Control\StorageDevicePolicies

 Ukifika hapo utakuta value yake ni 1; Ibadili iwe 0.  Bonyeza Save kisha  chomoa flash au memory card  yako kisha iwashe upya computer yako yako.

Njia ziko nyingi saaana. Hapo nimeelezea Chache.

<<Ingia Hapa Kuona Njia zote>>

Hadi Hapo Utakuwa umefanikwa kuondoa WriteProtect kwenye FlashDisk yako.

Endelea kuwa nasi kujifunza mautundu mbalimbali kuhusu technology.

Usisahau kuinstall app yetu kwa habari motomoto. Ingia playstore kisha search MPEKUZI utaipata.


from MPEKUZI

Comments