Tazama Hapa Shangwe la Wasafi Festival Iringa Lilivyokuwa Usiku wa Kuamkia Leo Iringa on November 30, 2018 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Usiku wa kuamkia leo kulifanyika tamasha la Wasafi Festival mkoani Iringa likiwa na wasanii wote wa WCB na wengine wakali kibao. Tazama mwanzo mwisho mwa show hiyo, video kwa hisani ya Wasafi TV. Picha kwa hisani ya John Bukuku from MPEKUZI Comments
Comments
Post a Comment