Rais wa zamani wa Marekani George H.W. Bush (Baba yake na Rais Bush aliyemuachia Obama madaraka) amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94 huko mjini Houston, msemaji wake Jim McGrath amethibitisha kifo chake.
Rais huyo wa zamani wa Marekani aliongoza kwa awamu moja tu akiingia madarakani mwaka 1989 na kuondoka 1993 hivyo kubaki kama Rais pekee aliyeiongoza Marekani kwa awamu moja.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment