Viwanja vya bei nafuu: Bunju na Mapinga (Baobab sec) Dar Es Salaam

Viwanja vya bei nafuu: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

Viwanja vinauzwa bei nafuu sana na unaruhusiwa kulipa kwa awamu. unatakiwa kulipa nusu bei kwanza na nyingine utalipa kidogo kigogo umalize ndani ya miezi 4. Ukilipa zote kwa pamoja bei inapungua kwa 10%

Kwa Bunju vipo viwanja vya ukubwa sqm 1000, sqm 1700 na sqm 2000. Kwa Bunju, bei ya kila sqm moja ni tsh 30,000/=

Kwa Mapinga Kimele vipo viwanja vya ukubwa sqm 200 bei tsh 2 milion, ukubwa sqm 400 bei tsh 4 milion, ukubwa sqm 600 bei tsh 6 milion, ukubwa sqm 800 bei tsh 8 milion.

Kwa Mapinga Baobab sec, vipo viwanja vya ukubwa sqm 1500 bei tsh 20 milion, ukubwa sqm 1900 bei tsh 25 milion, ukubwa sqm 2300 bei tsh 31 milion, ukubwa sqm 3000 bei 39 milion.

Viwanja vyote viko umbali wa km 3 tu kutoka main road.
Ukipata taarifa hii mjulishe ndugu/jamaa/rafiki

Hakuna dalali, mpigie mhusika kwa: Call 0758603077, whatsap 0757489709, email: menejadar@yahoo.com


from MPEKUZI

Comments