Video Mpya Rudeboy ft. Efezino - Fire Fire

Msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria, Rudeboy anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya mpya uitwao Fire Fire ambao amemshirikisha Efezino. 


Itazame hapo chini


from MPEKUZI

Comments