Picha ya Ommy Dimpoz, Zari Yazua Gumzo

Msanii wa muziki Bongo, Ommy Dimponz amekutana na Zari The Bosslady nchini Afrika Kusini.

Bado haijajalikana iwapo Zari na Ommy Dimpoz walikutana location kwa ajili ya kutengeza video ya msanii huyo, hilo ndilo swali lililoko vichwani mwa mashabiki wengi kwa sasa.

Zari ambaye anaishi Afrika Kusini ndiye ame-share picha hiyo kwenye Insta Story ikionyesha yupo pamoja na muimbaji huyo.

Zari ni mzazi mwezie na Diamond Platnumz ambaye urafiki wake na Ommy Dimpoz uliingia doa miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali.


from MPEKUZI

Comments