Askari wa kikosi maalum kinachopambana na matukio ya uhalifu na wahalifu kama wanavyoonekana Pichani wakitekeleza majukumu yao katika eneo la Midaho wilayani Biharamulo mkoani Kagera jana 29/10/2018. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa kikosi maalum cha kupambana na matukio ya uhalifu na wahalifu katika eneo la Midaho wilayani Biharamulo mkoani Kagera jana 29/10/2018 wakati akiwa safarini kuelekea wilaya ya Ngara mkoani humo kwa ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi.

from MPEKUZI
Comments
Post a Comment