Msanii Harmonize amefunguka iwapo ni kweli ameachana na mpenzi wake, Sarah.
Harmonize akipiga stori na Wasafi TV amesema hilo si la kweli bali Sarah amesafiri kwenda Italy ndio sababau hawaonekani pamoja kwa sasa.
"Pia amesafiri yupo Italy muda kidogo, so nadhani ndio sababu hatupo pamoja," amesema Harmonize.
Harmonize amekuwa na mahusiano na Sarah kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu mara baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Jackline Wolper.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment