Msanii wa Filamu Bongo, Wema Sepetu amesema licha ya ukaribu wake na familia ya Diamond Platnumz haimaanishi kuwa amerudiana na muimbaji huyo kwa sasa.
Kwenye Mahojiano na kipindi cha The Playlist cha Times FM amesema kuwa kwa sasa yeye ni Diamond ni zaidi ya washikaji na urafiki wake na dada (Esma Platnumz) pamoja na mama mzazi wa muimbaji huyo ni kitu ambacho kilikuwepo toka muda na sasa ni muendelezo.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment