Tanzania Yapewa Tuzo Ya Kimataifa Ya Kupambana Na Magonjwa Yasiyo Ya Kuambukiza Duniani

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akipokea tuzo ya Kimataifa ya kupambana na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza Duniani toka kwa Makamu Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Dkt.Soumya Swaminatha Mjini New York,Marekani.


from MPEKUZI

Comments