Ni kipindi kirefu sasa muingizaji Elizabeth Michael 'Lulu' amekuwa kwenye mahusiano na Majay, hatimaye sasa ndoa ya wawili hao imenukia.
Hii ni baada ya Majay kumvisha pete ya uchumba Lulu hapo jana tukio ambalo lilihudhuriwa na wazazi, ndugu, jamaa, marafiki na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment