Rich Mavoko Kaachia Video ya wimbo Wake Ndegele....Ndani ni Kama Kamchokonoa Diamond na WCB Kwamba Wamekutana na "Wachafu Waliochafuka"

Msanii wa muziki, Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake ‘Ndegele’ ikiwa ni video yake ya kwanza toka aingie kwenye mgogoro na WCB  ya Diamond, label ambayo amefanya nayo kazi kwa miaka 2.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya kazi akiwa katika kampuni yake ya Billionea kid,  kupitia video hii ni kama katupa jiwe gizani ambapo  mashilawadu wanadai linawalenga moja kwa moja WCB ambao hapatani nao.

==>>Itazame hapo chini


from MPEKUZI

Comments