PICHA: Mgombea Ubunge wa Buyungu-CCM Christopher Chiza akipokea Hati yake ya Ushindi

Mgombea Ubunge wa Buyungu-CCM Christopher Chiza akipokea Hati yake ya Ushindi baada ya kutangazwa mshindi kwa kura 24,578 akifuatiwa na Eliya Michael-Chadema aliyepata kura 16,910.



from MPEKUZI

Comments