Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Monduli, Bw. Julius Kalanga Laizer akisaimiana na wananchi waliofika katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za ubunge jimbo la Monduli uliofanyika jana jimboni humo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akisalimiana na Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Monduli, Bw.Julius Kalanga Laizer akisaimiana na wananchi waliofika katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za ubunge jimbo la Monduli uliofanyika jana jimboni humo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akimnadi Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Monduli, Bw.Julius Kalanga Laizer akisaimiana na wananchi waliofika katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za ubunge jimbo la Monduli uliofanyika jana jimboni humo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni za Ubunge Jimbo la Monduli, Bw. Julius Kalanga Laizer akisaimiana na wananchi waliofika katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za ubunge jimbo la Monduli uliofanyika jana jimboni humo.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Monduli jana
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment