Baby mama wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Zari The Bosslady amekuja juu na kumwaga povu zito siku ya jana na kuomba asilinganishwe na vinuka mkojo.
Povu hili la Zari limekuja siku chache baada ya kupishana Kauli na wasanii mbali mbali kutoka Bongo Movie ambao walitakiwa kwenda nchini South Africa kwa ajili ya birthday ya mtoto wa Diamond, Tiffah.
Zari aliwaambia wasanii kama Wema Sepetu, Aunty Ezekiel, Maimatha na kamati nzima ya Zamaradi kuwa hataki waende South Africa kwenye birthday ya Mtoto wake kwani watachafua nyumba yake.
Siku ya jana pia Kupitia ukurasa wake wa Snapchat Zari aliwamwagia povu hili watu ambao hakuwataja majina lakini hakutaka kulinganishwa nao.
"Ati sijui A or B, mimi sio level zenu I worked hard for my name, Am not a social climber. Hatuuzi sura tu, tunapambana na msiniringanishe na vinuka mkojo vwenu, mxiuuu.”.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment