Alichokisema Ziito Kabwe Baada ya Lugola Kumtaka Ajisalimishe Polisi Pamoja na Video ya Utani ya Wazee wa Kigoma Wakiseti Mitambo yao kwa Kimbunga

Leo  Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amemtaka Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ajisalimishe kwa Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi kwa kufanya Mkutano katika Jimbo lisilo lake.

Muda mfupi baada ya agizo hilo Zitto Kabwe amejibu kupitia ukurasa wake wa Twitter ;“Waziri hana hayo mamlaka. Kama polisi wananitaka watoe wito wa kisheria nitakwenda. Naendelea na kampeni za Mbunge wa Buyungu ambapo tunamwunga Mgombea wa CHADEMA na madiwani wa ACT Wazalendo kwenye kata kadhaa. Nashauri Waziri ampate kwanza yule Mbwa wa Polisi Bandari”

==>>Baadae akaweka na video ya utani kuonesha wazee wa kigoma wakitesti mitambo yao kwa kimbunga


from MPEKUZI

Comments