Ebwana eeh najua ni mara nyingi umekuwa ukijiuliza ni vipi saa ina uwezo wa kuzuia maji yasiingie ndani yake basi leo nakuletea saa 7 ambazo ni water resistant
Saa hizi zimewekewa mpira maalumu ambao unazuia maji kuingia ndani kati ya 30meter(hizi kwa ajili ya maji ya kawaida kama mvua) hadi 50meter(hizi ogea nazo au kuogelea nazo..
Mtandao huu sasa hivi unakupa uwezo wa kuagiza hapa kupitia mtandao na utalipa baada ya saa(mzigo) kufika kizungu cash on delivery ...Kuagiza bofya view product baada ya hapo add to cart kisha check out kwa kutupa taarifa uko wapi ili tukuletee.
UTALIPA MZIGO UKIFIKA mikoa ifuatayo dar ,arusha,moshi,dodoma,mwanza,mbeya,tanga,zanzbar, na morogoro tu
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment