Skip to main content
Mwili wa marehemu Agness Masogange ulivyowasili Muhimbili
Mwili wa aliyekuwa Video Vixen Agnes Gerald (Masogange) ulishatolewa katika Hospitali ya Mama Ngoma na kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa kabla ya kutangazwa kwa ratiba za mazishi.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment