Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombelezo ya Marehemu Abbas Kandoro aliyefariki jana kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole mke Marehemu Abbas Kandoro, Mariam Kandoro nyumbani kwa marehemu Mbweni jijini Dar es salaam.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment