WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA
Halda alizungumza huku akinisogelea taratibu na kunishika kiuno changu na kuanza kukiminya minya kiasi na kuzifanya hisia zangu kuanza kupanda taratibu na kujikuta nikiaanza kusahau aliyo nieleza kuhusu Rahma muda mchache ulio pita.Nikamuegemeza Halda ukutani na tukaanza kunyonyana denda huku taratibu tukiwa tunavuana nguo taratibu mpaka tukabaki kama tulivyo zaliwa.Kabla hatujaanza mechi simu yangu ikaita na kukuta Rahma ndio anapiga nikaipokea taratibu huku kidole changu kimoja kikiwa mdomoni nikimuashiria Halda asizungumze kitu chochote
“Mambo baby”
“Safi mke wangu umeshafika?”
“Ndio ila Eddy kwanini una nisaliti?”
Moyo ukanipasuka nikajikuta mwili mzima ukianza kunitetemeka na kuanza kujiuliza imekuwaje mpaka Rahma anajua ninamsaliti na kujikuta nikipata kigugumizi cha gafla
ENDELEA
“Ninakusaliti…..vipi ba..bay?”
“Jana si nilikuambia kuwa ukipata nyumba unijulishe?”
Nikashusha pumzi huku taratibu sura yangu ikitwaliwa na tabasamu kwani swali alilo niuliza Rahma lipo tofauti sana na tukio lililopo mbele yangu
“Baby mbona jana hukuniambia?”
“Baby nilikuambia mbona au umesahau?”
“Mmmm labda nitakuwa nimesahau”
“Niambie”
“Safi tu mke wangu mumesha fika uwanja wa ndege?”
“Ndio tumefika tunasubiri kuondoka na ndege ya saa tisa alasiri.Hapa nilipo nipo chooni nimewakimbia wazazi ili niaongee na wewe ila samahani mume wangu kwa kukukatia simu wakati ule ulipo kuwa unanipigia”
“Bila samahani mke wangu vipi utarudi lini?”
“Eddy najua utakasirika ila nakuomba unielewe mume wangu,Jana mama aliniomba niende naye Dubai kuna mizigo ninakwenda kuchukua kisha nitarudi ndani ya wiki moja”
“Mke wangu nimesha kuzoe sijui kama nitapata hata hamu ya kufundisha”
“Mume wangu usijali nitarudi nitakuletea zawadi nzuriii wewe mwenyewe utafurahi”
“Kweli mke wangu?”
“Ndio mume wangu”
“Ok safari njema”
“Mmmm baby naomba uniambiea maneno mazuri”
“NAKUPENDA MKE WANGU,WEWE NDIO USINGIZI WANGU, WEWE NDIO PUMZI YANGU ,WEWE NDIO MALAIKA WANGU NAKUPENDA SANA RAHMA WANGU”
“Hata mimi nakupenda EDDYwangu sina mwanaume mwengine zaidi yako wewe ndio umeyashikilia maisha yangu nipo tayari kufaya chochote ili kukulinda na waizi wanao iba waume za watu”
“Waizi gani?”
‘Mmm mjini hapa kuna mashangingi kibao wanao tafuta vijana wenye mvuto kama wewe nitawatoa roho”
“Baby ikuulize kitu?”
“Niulize baba yangu”
“Hivi ikitokea kuna mtu anakuibia mali yako utampa azabu gani?”
“Eddy nisikufiche nipo hata radhi nimtumie watu wamnyonge na kumtosa baarini ila si kukupoteza wewe mume wangu”
Jibu la Rahma likanifanya nikaae kimya kwa sekunde kadhaa huku nikimtazama Halda machoni akionekana kuwa na hamu ya kujua ni kitu gani ninacho kizungumza kwenye simu
“Eddy mbona upo kimya gafla?”
“Hapana mke wangu.Nakupenda”
“Nakupenda pia mume wangu”
Nikakata simu kisha Halda akanipokonya simu na kuiweka pembeni kisha akaanza kunishika kwenye koki yangu taratibu huku akiichua chua hadi ikasimama kama mlingoti kisha taratibu akaidumbukiza mdomoni na kuanza kuinyonya taratibu,japo Halda anajitahidi kunipagawisha kwa kuinyonya koki yangu ila kichwani mwangu nina muwaza Rahma kwani nafsi yangu ilianza kunisuta kwa kitu ninacho kifanya.Halada akaniomba nilala chini sakuafuni kutokana hapakuwa na kitu hata kimoja,nikalala bila kuwa na hiana yoyote kisha Halda akaikalia koki yangu taratibu na kuaza kuikatikia kiasi kwamba mawazo ya kumfikiria Rahma yakaanza kutoweka kichwani mwangu.
Nikairudisha akili yangu kwenye mechi inayo endelea kati yangu na Halda kiasi kwamba Halda akazidi kutoa vilio na vicheko vya raha na kunifanya mimi niongeze kasi ya mashambulizi katika ikulu yake.Tukaenda mizunguko miwili ya pambano kusema ukweli Halda ana utamu wa tofauti na Rahma ila sikutaka nimsifie kwani ingekuwa ni nafasi nyingine kwake kuniomba mechi kwa wakati mwengine.Tukamaliza na kuingia bafuni na kuoga kwa pamoja kisha tukaanza kufanya utaratibu wa kutafuta gari litakalo kwenda kubeba vitu vyangu na kuvihamishia kwenye nyumba mpya niliyo panga
Tukapata gari aina ya Fuso na tukaanza kupakiza vitu kwenye gari hilo nikisaidiana na vijana wa kwenye gari hilo,nikiwa tunaendelea na kazi ya kuhamisha vitu bibi ninaye ishi jirani naye akaniita
“Naam bibi”
“Mjukuu wangu mbona unaondoka hata kuniaga?”
“Bibi kidogo akili yangu haipo sawa ila ningekuaga”
“Mmmm sio vizuri mjukuu wangu…mmm unahamia wapi?”
“Naamia maeneo ya Raskazoni kule kuna nyumba nimepangisha”
“Ahaa ngoja nikupe maji fulani hivi yatakusaidia ukifika kabla ya kulala unyunyize nje ya kona zote za nyumba yako huku ukiwa unaizunguka kwa mara saba bila kusimama na ufanye hayo yote usiku wa saa sita pale siku inapo gawanyika na hakikisha hakuoni mtu wa aina yoyote”
“Kwanini bibi?”
“Mwanangu hayo maji yanasaidia kufukuza pepo wachafu na vitu vyam ajabu ajabu”
Bibi akaingia ndani kisha akatoka na kichupa cha maji kisha akanikabidhi huku akinihusia niweze kufanya hivyo hata kabla sijalala
“Asante bibi yangu”
“Usiwe na shaka mwanangu basi uwe unakuja kututembelea tembelea”
“Sawa bibi yangu ila ninakuomba usimwambie mtu yoyote sehemu ninayo hamia”
“Sawa mjukuu wangu nakutakia maisha mema ila angalia usije ukawaruhusu wale wezako walio pigana jana usiku ulipo kuwa haupo ikawa ni tatizo katika maisha yako”
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment