Majonzi na Vilio Vyatawala Mwilii wa Akwilina Ukiagwa

Vilio vimetawala chuo cha NIT alipokuwa akisoma marehemu Akwilina Akwilini. Baadhi ya wanafunzi wenzake walizima wakati wa kumuaga mwenzao.

Baada ya kuaga mwili wa mwanafunzi huyo, saa 10 jioni safari kuelekea wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kwa mazishi itaanza. Akwilina atazikwa kesho



from MPEKUZI

Comments