Skip to main content
PICHA 5 :Alikiba alivyomtembelea mama yake Rais Magufuli
Leo January 28,2018 Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba amepost picha kupitia ukurasa wake wa Instagram na kushukuru kwa baraka alizozipata baada ya kumtembelea mama mzazi wa Rais Magufuli akiwa Wilayani Chato.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment