Aliyekuwa Mkurugenzi wa TBC Tido Mhando Afikishwa Mahakamani
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Tido Mhando amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar leo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC.
Comments
Post a Comment