Tanzania Yashiriki Mkutano Wa Miliki Ubunifu Duniani


Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa, Geneva Uswisi, Mhe. Maimuna Kibenga Tarishi (katikati), katika Mkutano Mkuu wa 63 wa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO), unaofanyika Geneva Uswisi. Kutoka kushoto ni Msajili Msaidizi Mkuu wa BRELA Bi. Loy Mhando, Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA Bw. Godfrey Nyaisa, Mkurugenzi Mtedaji wa Wakala wa Usajili wa Bishara na Mali, (BPRA) Zanzibar, Bi. Mariam Mliwa Jecha na Mkuu wa Idara ya Uraghbishi wa Ushindani kutoka wa Tume ya Ushindani (FCC) Bi. Magdalena Utouh.


from MPEKUZI

Comments