TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO
Chuo Kikuu Kishiriki Cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) kikishirikiana na Taasisi yake Tanzu ya Masoka Professionals Training Institute kinatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2022/2023 katika ngazi ya Cheti, Diploma na Degree, kwa kozi zifuatazo:-
Shahada (Degree)
1. Bachelor of Arts in Community Development
2. Bachelor of Arts with Education
3. Bachelor of Accounting and Finance
Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma)
1. Law
2. Journalism
3. Accountancy
4. Information Technology
5. Business Administration
6. Procurement and Supply
7. Tour guide and Tourism
8. Community Development
9. Human Resource Management
10. Records and Archives Management
SIFA ZA MWOMBAJI
Kozi za Cheti: Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne kwa ufaulu wa alama D nne na kuendelea isipokuwa somo la Dini.
Diploma: Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita na awe na PRINCIPAL PASS MOJA na SUBSIDIARY MOJA isipokuwa somo la Dini AU awe amehitimu cheti (astashahada) kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
Degree (Shahada): Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita na ufaulu wa alama nne na kuendelea katika masomo mawili isipokua somo la dini AU Awe amehitimu Stashahada (Diploma) kwa ufaulu wa G.P.A ya 3.0 na kuendelea kutoka chuo kilichosajiliwa na serikali na maombi yanafanyika kwa njia ya mtandao kupitia: smmuco.osim.cloud
FOMU ZINAPATIKANA SEHEMU ZIFUATAZO
1. Tovuti ya Chuo: www.smmuco.ac.tz
2. Chuoni - Moshi Mjini na Kibosho Masoka
4. KKKT Christian Bookshop Moshi Mjini – mkabala na stendi kuu ya mabasi
5. Ofisi za Sharika zote Dayosisi ya Kaskazini.
Kwa maelezo zaidi: Piga simu namba: 0653422928, 0756512757, 0786862089, Na 0756029652
NYOTE MNAKARIBISHWA
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment