Rais Samia apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Zimbabwe


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, uliowasilishwa kwake na Mjumbe huyo Maalum Balozi Simbarashe Mumbengengwi, Ikulu Chamwino jijini Dodoma  Mei 22,2022.


from MPEKUZI

Comments