ldara ya Uhamiaji inawatangazia wafuatao ambao waliwasilisha maombi ya nafasi ya kazl ya Cheo cha Konstebo wa Uhamiaji katika Ofisi ya Uhamiaji Makao Makuu Dodoma, kufika kwenye usalli utakaofanyika katika Ukumbi wa Ofisiya Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto uliopo mkoani Dodoma, siku za Jumatatu na Jumanne tarehe 02-03 Novemba, 2021 kuanzia saa 2:00 asubuhi kwa kila kundi kama inavyooneshwa hapo chin!.
Aidha, waombajl walioomba kupitia Ofisi za Uhamiaji Mikoa na Afisi Kuu Zanzibar wanatakiwa kwenda katika ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya , na pia Ofisi za Uhamiaji Mikoa na Wilaya kuanzia tarehe 27 Oktoba 2021 kuangalia orodha ya majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya usaili.
Kila mwombaji anatakiwa kufika na vyeti halisi vya taaluma,cheti cha kuzaliwa , cheti cha JKT/JKU na vyeti vya ujuzi.
==>>Kutazama Majina ya Walioitwa kwenye Usaili BOFYA HAPA
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment