TANZIA: Aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji William Ole Nasha Afariki Dunia


Aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Mbunge wa jimbo la Ngorongoro Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia Jijini Dodoma.

Rais Samia Suluhu ametuma salamu za rambirambi na kutoa pole kwa Spika Mhe. Job Ndugai, Wabunge, Familia na Wananchi wa Ngorongoro.


from MPEKUZI

Comments