Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anatangaza nafasiza ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na walioko kambini wenye sifa zifuatazo:-
1. Wenye elimu ya kidato cha Nne (Nafasi 180)
(i) Waliohitimu kidato cha nne kuanzia mwaka 2015 hadi 2020.
(ii) Wenye astashahada, Trade-Test Grade I, FTC na ujuzi katika fani zifuatazo watapewa kipaumbele:-
a. Udereva Daraja E
b. Ufundi Magari
c. Ushonaji
d. Ufundi bomba
e. Ufundi ujenzi
f. Ufundi Umeme
g. Uogeleaji /Uzamiaji
h. Sayansi ya moto kutoka chuo cha Zimamoto na Uokoaji au chuo kingine kinachotambuliwa na serikali.
i. ClinicalAssistants
(iii) Umri kuanzia miaka 18 hadi 23
==>>Kujua Zaidi pamoja na Kutuma Maombi,BOFA HAPA
Mwisho wa Maombi: 13.10.2021
==>>Kujua Zaidi pamoja na Kutuma Maombi,BOFA HAPA Mwisho wa Maombi: 13.10.2021
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment