Tangazo la Nafasi za Masomo Shule ya Secondary Bishop Makaya- Diocese of western Tanganyika.

Diocese of western Tanganyika; Shule ya secondary Bishop Makaya iliyopo Kigoma wilaya ya Kasulu mjini inapenda kuwatangazia nafasi za masomo ya Pre Form one  na pia kuwatangazia nafasi za masomo kwa kidato Cha Kwanza,pili na tatu kwa mwaka wa masomo 2022.
Shule ni ya bweni na ni ya mchanganyiko wavulana na wasichana.Shule inamilikiwa na kanisa kuu la anglikani kasulu mjini.
 
Shule ina mazingira mazuri na kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa kutosha,
 
Ada zetu ni nafuu sana, Tsh. 950,000 kwa mwaka na zinalipwa kwa awamu nne.
 
Ada ya pre form one ni sh 950,000/ kwa miezi mitatu .Fomu za kujiunga zinapatika shuleni au kanisa lolote la Anglikani lililopo jirani yako
 
Kwa mawasiliano zaid fika shuleni au piga na zifuatazo;
Namba ya mkuu wa shule: 0752721364,
Mtaluma;0678795365
Madam;0743516481


from MPEKUZI

Comments