PICHA 14: Rais Samia Alivyoongoza Viongozi Na Wananchi Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Kuaga Mwili Wa Hayati Magufuli

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam  March 20,2021. PICHA-IKULU



from MPEKUZI

Comments