Nafasi Ya Kuhamia Kidato Cha Kwanza ( Form One) Shule Ya Sekondari Bishop Makaya

Uongozi wa shule ya Bishop makaya iliyopo wilaya ya Kasulu mji unapenda kuwatangazia wanafunzi/ walezi nafasi za masomo za kuhamia  kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2020


Shule inamilikiwa na kanisa la anglikana dayosisi ya Western Tanganyika 


Shule ina kidato cha kwanza na pili tu . Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne kwa mwaka ; yaani karo 800000,michango ya shule 150000;

  1. Januari 200000
  2. Aprili 200000
  3. June20000
  4. Sept200000

Shule ina mazingira mazuri sana kwa kujifunzia na inapokea wanafunzi wa imani zote na shule ni bweni kwa wavulana na wasichana .


Tunapatikana kasulu Mji barabara ya Kabanga .
Fomu zinapatikana shuleni au piga 0752721364,0763783919



from MPEKUZI

Comments