Waalgeria waomba kuutumia Uwanja wa Mkapa kuwakabili Mamelodi Sundowns

 Timu ya CR Belouizdad ya Algeria imeomba kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchi Tanzania kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaa kama kiwanja chake cha nyumbani kwaajili ya mechi ya Ligi ya Mbingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.



from MPEKUZI

Comments