Rais Dkt.Magufuli Azungumza Na Askofu Mkuu Wa KKKT Dkt.Shoo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Fredrick Shoo mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International leather Industries Co Ltd kilichojengwa kwenye eneo la Gereza Kuu la Karanga Moshi mkoani Kilimanjaro jana.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya viatu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Fredrick Shoo kwa ajili ya mke wake  mara baada ya kumnunulia katika Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International leather Industries Co Ltd kilichojengwa kwenye eneo la Gereza Kuu la Karanga Moshi mkoani Kilimanjaro jana mara baada ya kukizindua. PICHA NA IKULU



from MPEKUZI

Comments