NEC Yamteua Tundu Lissu Kuwa Mgombea Urais wa Tanzania Kupitia CHADEMA

Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, amemteua Tundu Lissu kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Salum Mwalimu kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia  CHADEMA.


from MPEKUZI

Comments