NEC Yamteua Cecilia Mwanga mkuwa Mgombea wa Urais kwa Tiketi Ya Chama cha Demokrasia Makini.

Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Tabu Juma kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha Demokrasia Makini.


from MPEKUZI

Comments