NEC Yamteua Bernard Membe kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo

Add caption
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Bernard Membe kuwa mgombea urais  wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo na mgombea mwenza, Profesa Omar Fakih Hamad kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, 2020.


from MPEKUZI

Comments