Skip to main content
Yanga yamtimua kocha Wake Eymael
Klabu ya Yanga imemfuta kazi kocha wake EymaelLuc na kuhakikisha anaondoka haraka nchini kutokana na kauli zisizo za kiungwana na kibaguzi alizozitoa na kusambaa katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment