VIDEO: Mgombea Atumia Lugha Ya Kichina Kuomba Kura Jimbo La Kawe

Uchaguzi wa kura za maoni kwenye Jimbo la Kawe Dar es salaam unaendelea muda huu ambapo  Watia nia  mbalimbali wanajinadi mbele ya wajumbe.

Mtia Nia namba 75 yeye kaamua kutumia lugha ya kichina kufikisha ujumbe wake 

==>>Tazama hapo chini


from MPEKUZI

Comments