Spika Ndugai Afika Masaki Kumpa Pole Mama Anna Mkapa

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha Maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kutoa pole kwa mjane Mama Anna Mkapa Masaki, Jijini Dar es  Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid  wakimsabai  mjane wa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akisaini kitabu cha Maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kutoa pole kwa mjane Mama Anna Mkapa Masaki, Jijini Dar es  Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (kulia), Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid (katikati) pamoja na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) wakimsabai  mjane wa kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa nyubani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam.

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (katikati), akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid (kushoto) pamoja na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. PICHA NA BUNGE


from MPEKUZI

Comments