RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini kitabu cha maombolezi ya Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu.Benjamin William Mkapa, alipofika nyumbani kwake Mtaa wa Masaki Jijini Dar es Salaam leo 25/7/2020.kutowa mkono wa pole kwa Familia ya marehemu.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment