Mkugenzi Mtendaji, na Wafanyakazi wa Makampuni ya Mbogo Mining na Nile Complex Plaza Limited wanatoa pole kwa Familia na Watanzania Wote, katika Maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Tatu. Mh. Benjamin W. Mkapa .
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment