Wenye Virusi Vya Corona Uganda Wafika 74....Ni Baada ya Madereva 06 wa Tanzania na Wengine 05 wa Kenya Kukutwa na Virusi Hivyo
Watu 74 wabainika kuwa na virusi vya Corona nchini Uganda baada ya kuongezeka maambukizi mapya 11, ambapo kati ya watu hao 11 Watanzania wapo 6, watano wanatoka nchini Kenya.
Wizara ya Afya nchini Uganda imesema kati ya wagonjwa 74 wa Corona 46 wamepona na kuruhusiwa.
🔺11 new COVID-19 cases confirmed today— Ministry of Health- Uganda (@MinofHealthUG) April 23, 2020
🔺6 Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula Border post
🔺5 Kenyan truck drivers; 3 arrived via Malaba and 2 arrived via Busia
🔹Total Confirmed Cases of COVID-19 in Uganda is now 74
🔸Total COVID-19 recoveries in Uganda: 46
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment