Skip to main content
PICHA: Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda
Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
Picha: AzamTv
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment